All,
John Michuki
The greatest
The bravest
The light
The star.
John Michuki
The exemplary
The perfectionist
The nationalist.
John Michuki
The business magnate
The political magnet
The reviver of audacious hope-
-for a perfect Kenya.
John Michuki
Bila shaka
Hauna chuki
Wala wivu
Simba wa Taifa
Mchuzi wa uchumi
Ubarikiwe na Mungu
John Michuki
Salimia watu wetu
Jaramogi na JM
Muliro na Muge
Mboya na Wamalwa
John Michuki
Baki salama salmini
Baki salama salmini
Shujaa, Shujaa, Shujaa
Baki salama, baki salama,
Enda na Mungu, enda na Mungu
John Michuki
- THE PERFECTIONIST-
- THE NATIONALIST-
- THE PATRIOT-
- THE FALLEN HERO-
Mwaminifu,




