Kenya Talks • View topic - Budget 2012: Budget Ya Masufferer - Just For Laughs

Budget 2012: Budget Ya Masufferer - Just For Laughs

Discussion of general formal issues!

Postby joste » Fri Jun 15, 2012 8:03 am

Hiyo shimo ya doughnut itolewe hata sio tamu.

Chips funga ikue ikikam na tomatoe sauce.

Maziwa lala aamushwe afanye job.

Watu wa mashilingi kwa kichwa pia walipe tax.

Mapenzi ya dhati ipunguzwe ikuwe mbao angalau.

Ile light inakuanga at the end of the tunnel izimwe ku save energy.

Johnny walker afike mahali anaenda atupunguzie bei.

Bei ya dough...nut ibaki vilevile lakini wapunguze size ya shimo.

Paying attention should be zero rated.

Road to success' ifanywe superhighway ndio wa2 wafike haraka.

Watu wa Rongai wapewe chai na mandazi kwa mat wakitoka tao...

Gava ifanye roadi ya kufika SA mteremko tuskume Zack afike faster faster.

Serikali ipunguze siku za mwizi kutoka arobaini mpaka kumi.

Entrance kuingia Camp Mulla inafaa kuwa sare.

Ngombe zote zikule tea bags ilizikikamuliwa ni chai straight.

The phrase 'Tunaomba Serikali' iongezwe kwa national anthem.

Safaricom wapunguzie wakale roaming rates, wao hukimbia.

K-street ladies wa charge half price ya kuingiza kichwa peke yake.

Miguna Miguna anyang'anywe jina moja wapatie wenyewe hawana majina kamaNameless.

Wasee wa vitz wanadai gava introduce petrol ya sachets.

Font ya gazeti increases to font 72 ili tusome tukiwa watatu kwa citi hoppa.

Bei ya vikombe ipunguzwe ili Arsenali angalau waown zao.

Logo ya apple iumwe tena bei ipungue.

Unga ya Jogoo bana ikue na Flavour ya Kuku ata ukikula na sukuma si mbaya sana.
My readiness and duty to defend the flag of our republic. My devotion to the words of our national anthem. My life and strength in the task of our nation’s building.
User avatar
joste
Level: Council of the gods
 
Posts: 5112
Mood: CoolCool
Joined: Thu Dec 16, 2010 4:36 am
Location: Prince Valley, KUSADIKIKA
Reputation point: 57
kurutu

Return to General(Formal Discussions)

Who is online

Users browsing this forum: No registered users and 12 guests